ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,557
- Thread starter
-
- #41
Kwanza unapaswa kusifia unbeaten 49.na mwishowe pia ukubali uchovu umechangia mbali na hayo mapungufu mengineKwa hiyo mlicheza na wapishi ambao wamezoea kukaa kwenye moto muda wote mpaka madhara hayo yawe upande weu tu?
Wachezaji kuwa wazito mbona hata kwenye game yenu na Kagera walikuwa wazito vile vile na bado mlishinda?
Nyinyi mkiifunga timu pinzani hamjawahi kuitafutia sababu ya kijiografia kuwa imepoteza mchezo kwasbabu ya hali ya hewa, huwa mnahitimisha kuwa imekutana na timu kubwa na ndio maana imepoteza
Kongole zinaemda kwa Mayele, na Kocha kuwa hao ndio magwiji
Leo umepoteza wewe, sababu imekuwa joto?
Basi muwe mnaingia na feni uwanjani sasa ili kukwepa visingizio kama hivi
Kwa taarifa tu ni kwamba mechi ijayo tunaanza upya unbeaten 1Jezi za 50 unbeaten zisitupwe, zigawiwe bure kwa wenye kuhitaji.
Bora wewe umeongea pointMmeanza porojo zenu sasa, mlifikiri yanga ingecheza bila kufungwa milele? Amuangalii ata mambo ya kiufundi mnalaumu tu, Ratiba ya yanga kusafiri na kucheza mechi 8 ndani ya mwezi mmoja amuioni!? Hao wachezaji ni marobot? Afya za wachezaji zinaatarishwa sana kwa ratiba hii na wale wanaofurahia na wao watakumbana nayo mzunguko wa pili tusije tukasikie fyokofyoko
Sio kila siku joto,leo hukumsikia mtangazaji mapema kabla ya mechi akihadharisha joto lile?leo ilikua zaidi ya dar jotoKama ni suala la joto basi kila mechi za nyumbani, Ihefu angekuwa anapata matokeo
Wale wenyeji kule ndo kwao..bado hapo utakuta walikesha uwanjani mik..nd..juu..unategemea niniIna maana joto lilikua upande wa yanga Tu na sio ihefu au ihefu walivaa AC kupoza joto mbona sababu azieleweki wajameni
Sio kila siku joto,leo hukumsikia mtangazaji mapema kabla ya mechi akihadharisha joto lile?leo ilikua zaidi ya dar joto
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kwanza sipaswi kusifia unbeaten ambazo miongoni mwa mechi zilizosababisha mfike umbali huu ziliamuliwa very unfair na waamuziKwanza unapaswa kusifia unbeaten 49.na mwishowe pia ukubali uchovu umechangia mbali na hayo mapungufu mengine
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kweli, ndiyo maana walipoingia hawakubadilisha matokeo ya mchezo.Wangeweza kuwepo na timu ikafungwa. Siku ya kufungwa lazima ingefika.