Watanzania wenzangu,chonde chonde ukiona shabiki wa Yanga anataka kuvuka barabara tafadhali naomba umvushe.
Ukiona shabiki wa Yanga na kama kuna kamba karibu zifiche.
Ukiona shabiki wa Yanga kakunja ngumi uku anatembea usimsemeshe muache.
Kama unaishi na shabiki wa Yanga ndani, tafadhali sana ondoa vitu vyote vyenye rangi nyeupe na nyekundu.
Usimuonyeshe picha ama maelezo,ama jambo lolote linalomuhusu Haji Manara.
Ahsanteni sana kwakunisikiliza.