Yanga: Timu pekee inayoongoza ligi lakini wapenzi wa timu wanaongoza kwa huzuni

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Hapa duniani kwa sasa washabiki wa Yanga ndio wanaoongoza kwa kuwa na huzuni ijapo wanaongoza ligi.

Natoa wito wa tahadhari kuwa ukikutana na mpenzi wa utopolo mchukulie kama mgonjwa wa akili.Usipofanya hivi jiandae kwa matusi ngumi na vita.

Nimekuonya jihadhari.
 
Watanzania wenzangu,chonde chonde ukiona shabiki wa Yanga anataka kuvuka barabara tafadhali naomba umvushe.

Ukiona shabiki wa Yanga na kama kuna kamba karibu zifiche.

Ukiona shabiki wa Yanga kakunja ngumi uku anatembea usimsemeshe muache.

Kama unaishi na shabiki wa Yanga ndani, tafadhali sana ondoa vitu vyote vyenye rangi nyeupe na nyekundu.

Usimuonyeshe picha ama maelezo,ama jambo lolote linalomuhusu Haji Manara.

Ahsanteni sana kwakunisikiliza.
 
Back
Top Bottom