Umeandika ujinga mtupu.
Kwa hiyo mayele akifa leo yanga itakufa?
Walikuwepo kina nonda waliondoka na mambo yakaenda kawaida tu. Kuna mastraika wengi sana afria issue ni pesa na scouting tu. Wewe mpaka leo sub zako anaingia bocco na kyombo unawabeza kina maize na musonda? Wewe kwa muda wa miaka 10 una mchezaji yyte uliyemtengeneza toka ndani??