Yanga wako kwenye mchakato wa kutafuta nyimbo ya timu..
sasa kwa nini wasitumie ile nyyimbo ya pepe kale aliyowaimbia?
na je nyimbo za r&b kweli zitawafaa?
au kwanini wasiwaambie sikinde ambao wanafahamika kwa kuisapoti yanga waitungie nyimbo?
wakishinda THT hata kama walistahili kuna haja ya kuongalia hii..kwa nini watangaze Clouds peke yake kwani hamna Radio nyingine..au wamepewa free kutangaza..