Mlendamboga
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 671
- 348
Yes mkuu tupia nyepes za mechi
nimeipenda hii, tunasubiri updates zako mkuu. Anza na kikosi cha yanga kinachoanza
FT
Kimondo 1-4 Yanga
Magoli ya Yanga yamefungwa na Deus Kaseke, Amis Tambwe na Geofrey Mwashiuya (kafunga mawili)...
Hiyo timu ya Kimondo inacheza daraja la ngapi?Asante sana Mkuu kwa taarifa hii. Sisi hatujivunii mechi za bonanza, ingekuwa ni wale wenzetu, mjini pangekuwa na kelele nyingi kama zile za vyura nyakati za masika.
CC. Masuke (aione ndani ya jalada).
Hiyo timu ya Kimondo inacheza daraja la ngapi?