kuku mweus
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 766
- 602
Mkuu nimeshangaa sana nilipiga picha ila wale wanaojiita makomando wamenitoa simu wakafuta
Sasa si wanaogopa aibu.Mkuu nimeshangaa sana nilipiga picha ila wale wanaojiita makomando wamenitoa simu wakafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni umama mwanaume umbea umbea tu utaja liwa jicho ohoo mjini hapa.Habar wana Jf mimi huwa si mdau Wa kuandika humu ila kwa hili ngoja niseme Leo nikiwa katika pita pita zangu huku mkoani Iringa ghafla nakutana na Gari ya timu ya Yanga inaelekea maeneo ninayo ishi nikajiuliza Nini tatizo
Bahat nzuri nikaona walipofikia duuuu ama kwel njaa ni mbaya Yanga iliyokuwa ikilala hotel kubwa Leo ndo wamefikia lodge ya sh elfu 5 wapo hapa country side Lodge wanaomba chakula mpaka kwa wanafunzi Wa Tumaini chuo
Ama kwel njaa haina baunsa mnaomba chakula kwa wanafunzi isitoshe wanafunzi hao ni certificate na diploma bora wangekuwa degree wenye boom mlaaniwe
Na wanafunzi Wa Tumaini kuweni makini na hao omba omba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mikia wanahitaji kuku weusi wengi kwa ajili ya kafara mechi dhidi ya Vita. Utawafaa sana.Habar wana Jf mimi huwa si mdau Wa kuandika humu ila kwa hili ngoja niseme Leo nikiwa katika pita pita zangu huku mkoani Iringa ghafla nakutana na Gari ya timu ya Yanga inaelekea maeneo ninayo ishi nikajiuliza Nini tatizo
Bahat nzuri nikaona walipofikia duuuu ama kwel njaa ni mbaya Yanga iliyokuwa ikilala hotel kubwa Leo ndo wamefikia lodge ya sh elfu 5 wapo hapa country side Lodge wanaomba chakula mpaka kwa wanafunzi Wa Tumaini chuo
Ama kwel njaa haina baunsa mnaomba chakula kwa wanafunzi isitoshe wanafunzi hao ni certificate na diploma bora wangekuwa degree wenye boom mlaaniwe
Na wanafunzi Wa Tumaini kuweni makini na hao omba omba
Sent using Jamii Forums mobile app
Inahusiana vp na nie kupanga country side LodgeTuliza mshono vumbi la kongo linawasubiri jumamosi taifa. Haraka ya nini?!
Tumewekeza unajua maana ya kuwekezaWewe unachangia kiasi gani kwenye hiyo timu yako inayodhani ni tajiri? Bila hata aibu unakaa kujisifia pesa ya mwanaume mwenzako
Mkuu Mimi huwa sina tabia za kizushi saa kama unataka kuamini muulize mtu yoyote Yanga wamefikia wapiUzushi mtupu tu
Mnataka mtutoe kwenye reli imeshindikana
Kila la heri AS vita
Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s
Umbea gani upo we boya mi nimewapa taarifaHuo ni umama mwanaume umbea umbea tu utaja liwa jicho ohoo mjini hapa.
Kwani unateseka hebu kawalipieni chakula huko nasikia wanawaomba wanafunzi chuoMikia wanahitaji kuku weusi wengi kwa ajili ya kafara mechi dhidi ya Vita. Utawafaa sana.
Naona anaanza kujifariji mapema Mkuu.Tuliza mshono vumbi la kongo linawasubiri jumamosi taifa. Haraka ya nini?!
Mkuu watu ka hawa akili zao wanazijuaga wenyewe.Wewe unachangia kiasi gani kwenye hiyo timu yako inayodhani ni tajiri? Bila hata aibu unakaa kujisifia pesa ya mwanaume mwenzako