Siwezi kukuongopea.
Sijacheza sana soka kwa kuwa ilitupasa kuchagua kati ya shule ama michezo... Hapa kwetu wachezaji wengi hawakupita shule kwa sababu hiyo.
Nimekuwa kocha wa timu za shule na chuo, na sasa niko kwenye utawala wa Soka la Bongo.
Mwenzangu umeshawahi kucheza?
Yeah, nimecheza sana huko mashuleni.Kuanzia Primary hadi O level. Baada ya hapo nikawa busy maana sikupata muda wa kujishughulisha na soka tena.
K.
Tusiharibu uzi wa watu. Hongera mchezaji mstaafu...
Siyo wanamkwepa Mnyama kiaina?
Oh, napita tu mtani.Kwema lakini?
Naona baada ya ligi kuu kuisha umerudi jamvini!
nawaangalia tu mnavyojihemua bila sababu ya msingi...mihemko noma sana
Wewe ndo uliyebatiza jikosi cha vijana jina la kikosi b...ndo nikakwambia kikosi b maana yake sio wachezaji vijana au watoto kama unavyowaita ww naona hujui unachoboshania...nyinyi mashabiki wa simba akili zenu anazijua rage...usini Quote tena hujielewi sipo tayali kubishana na mbumbumbu niyakesha hapa
Mhhhhhhh, hizi ni dalili za wivu na chuki.Si utuache tujihemue? Kwani umepungukiwa nini na kujihemua kwetu?
Kwani Musonye aliizuia yanga kwa sababu zipi?
Je hazikuwa za Msingi?
Je CECAFA ni Musonye?
Yanga hamuoni mtakua mnafanya michezo ya kitoto au maamuzi ya ki balehe balehe?
Mkuu, Musonye huwa anaalika timu nje ya CECAFA na mara nyingi huleta vijana kuwapa uzoefu. Kuna ubaya gani Yanga kufanya hivyo?
Hao vijana bado ni Yanga hiyo hiyo. Je mwaka huu Yanga ikisema itawatumia vijana, Musonye atasema nini?
basi kila timu ipeleke vijana
Unajua kwa timu waalikwa thats explainable...ili kuchangamsha mashindano...huwezi kuwawekea conditions hizo
Tukubali kuwa kila mashindano lazima yawe na kanuni na ziheshimiwe
Kama timu imesajili wachezaji 25 kwa nini ipangiwe nani ashiriki? Mwisho Musonye atapanga first eleven!
Kama kanuni za kuruhusu wachezaji walio na kadi lukuki za njano wacheze!!!!!
hahahahahha...mkuu...ila mihemuko inaruhusiwa kwa wana Yanga...Ushauri tu...Yanga acheni dharau na majivuno-Yanga kama timu
Mkuu, Musonye huwa anaalika timu nje ya CECAFA na mara nyingi huleta vijana kuwapa uzoefu. Kuna ubaya gani Yanga kufanya hivyo?
Hao vijana bado ni Yanga hiyo hiyo. Je mwaka huu Yanga ikisema itawatumia vijana, Musonye atasema nini?
Mkuu huyo jamaa ni bingwa wa kutoelewa...utamaliza wino wa simu yako bure...muulize rage atakwambia
Wewe jamaa unaonekana sifuri kwenye michezo,....kwa Yanga hilo lilikua tofauti...
Yanga haikuwa inapeleka kati ya wachezaji wale 25....
Kama ingekuwa ni kati ya wale 25 that would be fine.
Yanga ilikua inapeleka kikosi cha vijana yaani kikosi B wanaita......Mkuu...najua unajua vizuri hili swala.
kwa Yanga hilo lilikua tofauti...