Makosa ni kati ya nguzo muhimu zinazoshikilia soka, pia unaweza ukasema kati ya misingi inayoibeba soka, Makosa ni mojawapo.
Hivyo basi hilo kosa hapo siyo la kumlaumu kabisa referee, kama binaadamu ni rahisi sana kwa refa kufanya maamuzi ya kimakosa katika mazingira yale.