Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,547
- 139,883
Yanga wamezingua kwenye hili. Aliyepaswa kuingia Makubaliano na hao wadhamini wapya ni Sportpesa, siyo Yanga. Au Yanga walitakiwa kuwashawishi Sportpesa bila kuchoka hadi Wakubali.View attachment 2503200
Wakati mtaani watu wanasema kwenye mashindano ya kimataifa Sportpesa hawatoi hela.
Kwenye mkataba wa Yanga SC na SportPesa katika hatua hizi za makundi, robo fainali, nusu fainali na fainali kuna bonasi kutoka Sportpesa kwenda Yanga SC iwapo watashinda mechi, kuingia robo fainali, kuingia nusu fainali, kuingia fainali na kuchukua ubingwa.
Sasa kama mdhamini analipia yote hayo na anakuambia hataki uweke kitu kingine hapo unawezaje kumkiuka?
Wakati mwingine tufanye mambo kisasa kidogo, nafahamu Yanga SC na SportPesa walikuwa kwenye majadiliano Yanga wakiomba kutumia eneo ambalo SportPesa wanastahiki kuwepo kimkataba.
SportPesa wakakataa kwamba hawapaswi kufanya hivyo.
Kimkataba pia SportPesa wanahaki ya kusema nani awekwe hapo nani asiwekwe na kila upande unafahamu hilo.
Unabaki unajiuliza haya yametokeaje ili hali mkataba ni makubaliano ya kisheria ambayo yanapaswa kuheshimiwa na pande zote zilizomo kwenye huo mkataba?
Kuna mahala pana tatizo ingawa hatutaki kukubali na kusema ukweli.
BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
Navutia sana na hard arguments zake.Naona unakuwaga wa kwanza kumkwoti jemedari mara kwa mara
Suala la Yanga halihitaji degree ya sheria. Ni common sense tuWachambuzi wa Bongo wapo Imara kwenye kila sekta kwanzia kwenye sheria na mikataba, Mbinu za mpira, ukocha , Urefa, Riadha, ndondi.. Daah! Wachambuzi wa bongo wapo juu sana , nawakubali maana hakuna kitu hawajui
Mfano wako umenikosha sanaWalichokufanya Yanga ni sawa ni zile guest za vichochoroni. Unalipia chumba ukitoka kwenda kwenye mishe zako wanakitumia kwa kuwauzia wale wa shorttime (Chapchap)
Yah jamaa yupo gudi sana,kwake nyeupe ni nyeupe haiwezi kuwa bluuNavutia sana na hard arguments zake.
Wengi wanashindwa kulitambua hili wamekomaa na bonus kama ndio big issue wakati ni reward isiyokuwa ya lazimaYanga wamezingua kwenye hili. Aliyepaswa kuingia Makubaliano na hao wadhamini wapya ni Sportpesa, siyo Yanga. Au Yanga walitakiwa kuwashawishi Sportpesa bila kuchoka hadi Wakubali.
Walichokufanya Yanga ni sawa ni zile guest za vichochoroni. Unalipia chumba ukitoka kwenda kwenye mishe zako wanakitumia kwa kuwauzia wale wa shorttime (Chapchap)
Uongozi wa Yanga unatakiwa ujifunze kutofautisha kati ya biashara na ushikaji walio nao na Mkurugenzi wa Sportpesa na Uanachama wake kwa Yanga.
Mwisho Mashabiki na Wanachama wa Yanga na Simba wajifunze kuongelea na kukosoa vikali na kutoa ushauri pale uongozi unapokua unafanya mambo ya Kihuni yasiyo na afya kwa soka, badala ya kuacha kazi hiyo ifanywe na wapunzani wao huku wenyewe wakiwa busy kutetea ujunga.
Katika hili niwapongeze Kwa dhaati sana GENTAMYCINE na MTAZAMO
Kwanza bonus huwa inatolewa kwa kufikia target flani na pale hiyo target ikifikiwa inakua sio reward tena bali inakua lazima na ndo maana inaandikwa kwenye mkataba.Wengi wanashinda kulitambua hili wamekomaa na bonus kama ndio big issue wakati ni reward isiyokuwa ya lazima
Nilitegemea nitakuta vipengele vya mkataba umewekwa hapa kubainisha hizo bonus za mashindano ya kimataifa. Kumbe maneno matupuView attachment 2503200