Baada ya kutoa droo na mbeya city, wabingwa wa kihistoria wa tanzania kesho watashuka dimbani kukwaana wajelajela ,.. Yanga iliyowakosa wachezaji wake mashuhuriniyonzima na msuba kwenye mechi ya juzi, leo imeonekanija ina hali ya kushinda,.
Yanga daima mbele nyuma mwiko.