watu wakisema ukweli inaonekana nomaaaaaaaaaaaa yanga timu kubwa, Chadema Chama kubwa, tatizo wanaaoambiwa wamelewa akili bilaa kunywa maji hivyo wakajisahau,nakupa mfano mmoja wanasema CCm oyeeee chama kina wajali watu wake kitajenga kiwanda pale kilombelo kusudi uzalishashi wa sukari uongezeke wakati watz tunasuburi leo bei ya sugar ipungue tunywe chai matumaini yamekufa hilo nalo la kutufanya tushangilie kama sio ulevi??????????? Mwenyekiti wa CDM baba yake alikuwa rafiki wa baba wa taifa sasa Mbowe anaona maisha yaliyokuwepo ezi ya baba zake hayafanani na wakati tulio nao yeye akae kimya tu kisa asikiseme chama cha Mapinduzi????? mamilioni ya fedha yanaliwa na wachache huku Wtz mamilioni wanakula mlo mmoja tena kwa kubahatisha Mbowe akae kimya???? Gari la zimamoto linakosa magurudumu Tabora mali zawatu zinaungua na kuteketea kabisa kweli hatuna uwezo wa kununua hayo mataili 4 ???? ni kweli usiopingika watawala wameshindwa,Viongozi wa yanga kushindwa kuwalipa wachezaji wake haki zao lakini wanataka kutawala ni kosa wachezaji wametimiza wajibu wao haki yao iko wapi? ndio kisa cha kungwa bao tano na mtani wake Simba na yeye bila kujua anachekelea bila kuangalia kisoni kwake. Mujwahuzia