Yanga hii noma

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Kwa washabiki wote wa yanga sports club,ninaamini watakubaliana na mimi jinsi yanga walivyo onyesha soka zuri la kufundishwa pamoja na kagera sugar kucheza mchezo wa rafu mbaya na kucheza jihadi,lakini yanga walionyesha kuwa wao wapo juu!!!
 

Attachments

  • 1397224428915.jpg
    18.6 KB · Views: 257
Mzee akilimali bhana,mechi nyingi mmeshinda kwa kutoa mifweza,mnyama atakuchapa na ubingwa tunampa rambaramba..
 
Sokoine lazima azam fc afe kwa vyovyote vile.
 
Tatizo la mpira wa Tanzania ni kubebana. Azam wanacheza mpira wa uhakika na ndiyo timu pekee iliyo na muelekeo mzuri ikifuatiwa na Mbeya City. Baada ya Yanga kusajiri wachezaji waliochakachuliwa waandishi wa habari Bongo wakawapa Yanga ubingwa wasiostahili, leo wamekosa ubingwa wanaanza kutafuta mchawi ni nani. My take, Yanga ni sawa na CCM....wanatumia propaganda nyingi ili wabebwe. Na mwenye akili timamu kamwe hawezi kushabikia mpira wa Simba na Yanga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…