Kwa hiyo muda utakuwa unawasubiria tu wajuane sio?Kwanza nianze kwa kusema kuwa mimi ni shabiki kindakindaki wa Yanga, japo miaka miwili iliyopita nilijipa likizo ya kutoifuatili. Hili la kutoifatilia ilitokana na timu yangu hii kuwa na mambo mengi ha kuuzi, japo ilipokuwa yafanya vibaya, niliumia. Msimu huu mpya ulianza kwa tambo nyingi sana. Wakati wa usajiri nilikaa kimya kuona hii pendwa itawaleta nani. Wengi waliokiwa wanasajiriwa niliwapa taadhari, kwani najua mpira wa Tanzania una mengi. Lakini baada ya mechi ya leo niwe muwazi na kuiweka furaha yangu hadharani. Hakika waliofanya usajiri safari hii wametuletea watu kweli kweli. Kuanza kwa Zawadi Mauya, mpaka kule mbele hakika kazi hii ilifanyika kwa kuzingatia Yanga inataka nini, kwani mpaka benchi la akiba wamekaa wanaume kweli kweli. Niwaambie mashabiki na wapenzi wa Yanga, timu hii tunatakiwa tuipe mda, itafanya makubwa sana, hasa mwalimu atakapowaelewa wachezaji wake. Pia naomba viongozi watulie, wasiwe na maneno mengi kuingilia benchi la ufundi. Yanga hii naitabiria makubwa sana.
Daima mbele, nyuma mwiko.
Asante timu nzima iliyofanya usajiri yanga
Wasalaaam
Kwanza nianze kwa kusema kuwa mimi ni shabiki kindakindaki wa Yanga, japo miaka miwili iliyopita nilijipa likizo ya kutoifuatili. Hili la kutoifatilia ilitokana na timu yangu hii kuwa na mambo mengi ha kuuzi, japo ilipokuwa yafanya vibaya, niliumia. Msimu huu mpya ulianza kwa tambo nyingi sana. Wakati wa usajiri nilikaa kimya kuona hii pendwa itawaleta nani. Wengi waliokiwa wanasajiriwa niliwapa taadhari, kwani najua mpira wa Tanzania una mengi. Lakini baada ya mechi ya leo niwe muwazi na kuiweka furaha yangu hadharani. Hakika waliofanya usajiri safari hii wametuletea watu kweli kweli. Kuanza kwa Zawadi Mauya, mpaka kule mbele hakika kazi hii ilifanyika kwa kuzingatia Yanga inataka nini, kwani mpaka benchi la akiba wamekaa wanaume kweli kweli. Niwaambie mashabiki na wapenzi wa Yanga, timu hii tunatakiwa tuipe mda, itafanya makubwa sana, hasa mwalimu atakapowaelewa wachezaji wake. Pia naomba viongozi watulie, wasiwe na maneno mengi kuingilia benchi la ufundi. Yanga hii naitabiria makubwa sana.

Matokeo na prison yakoje? HahahaKwanza nianze kwa kusema kuwa mimi ni shabiki kindakindaki wa Yanga, japo miaka miwili iliyopita nilijipa likizo ya kutoifuatilia. Hili la kutoifatilia ilitokana na timu yangu hii kuwa na mambo mengi ya kuudhi, japo ilipokuwa yafanya vibaya, niliumia.
Msimu huu mpya ulianza kwa tambo nyingi sana. Wakati wa usajili nilikaa kimya kuona hii pendwa itawaleta nani. Wengi waliokiwa wanasajiliwa niliwapa tahadhari, kwani najua mpira wa Tanzania una mengi. Lakini baada ya mechi ya leo niwe muwazi na kuiweka furaha yangu hadharani.
Hakika waliofanya usajili safari hii wametuletea watu kweli kweli. Kuanza kwa Zawadi Mauya, mpaka kule mbele hakika kazi hii ilifanyika kwa kuzingatia Yanga inataka nini kwani mpaka benchi la akiba wamekaa wanaume kweli kweli. Niwaambie mashabiki na wapenzi wa Yanga, timu hii tunatakiwa tuipe muda, itafanya makubwa sana, hasa mwalimu atakapowaelewa wachezaji wake. Pia naomba viongozi watulie, wasiwe na maneno mengi kuingilia benchi la ufundi. Yanga hii naitabiria makubwa sana.
Daima mbele, nyuma mwiko.
Asante timu nzima iliyofanya usajili yanga
Wasalaaam
Hiyo ni kauli yako. Lakini kwa mpira uliopigwa jana, Simba vs Ihefu na Yanga Vs Prison, utakubaliana nami kuwa Yanga imeonesha kuwa nzuri zaidi. Timu yote karibia ni mpya lakini imepiga mpira mkubwa kabisaDemu akikwambia"nioe au tuishi wote"unamwambia ngoja kwanza tuzoeane,mkija kuzoeana tyr ushampa na mimba anakuona mizinguo anaanza kudanga.
Yanga mpaka mkija kuzoena mtakuwa mshavuliwa pichu na Simba na mimba juu,kila timu mtakayokutana nayo mnavuliwa pichu mnapigwa cha kuchutama cha fastafasta.
1-1Matokeo na prison yakoje? Hahaha
Hao hawajui maana ya mchezo wa mpira wa miguuWakati mnasubiri muunganiko,kipigo toka kwa mnyama hadi mtafukuza wachezaji wenu wote tena.
Hata leo kuna wana utopolo wenzio wanasema baadhi ya wachezaji wameuza mechi
Yanga hii, inahitaji siku kumi tu kuweka muunganiko mzuri.Kwa hiyo muda utakuwa unawasubiria tu wajuane sio?