GFT: Cd de Agosto 2-6 Namungo FC
Simba mshipa wa noma umekufa, hawana tofauti na Ccm kushangilia ushindi wa wizi wa kura.G
Halafu hata aibu hawaoni.
Hawakujiandaa vipi wakati walicheza na Mbuni FC mechi za kujipimaHabari za weekend mashabiki wa soka wa Tanzania na east Africa kwa ujumla na
Hongera kwa wana lunyasi kwa kuwakilisha taifa na kutuheshimisha kama nchi ila ndugu zetu hawakujiandaa na haya mashindano kwasababu zifuatazo:β
Wakati simba wanaenda pre season wao wakabaki kigamboni wakawahonga wachambuzi makanjanja waponde pre season.
Wakati simba wanaenda Sudan kucheza mashindano waliyoalikwa na al hilal wao wakaponda na wachambuzi makanjanja wakaponda .
Wakati simba anaenda zanzibar kutafuta fitness wao wakaponda wakaona bora kufanya mazoezi coco beach kwenye mchanga kuliko kucheza game kutafuta fitness .
Wakati simba wanasajili kwa ajili ya Caf champions league wao wanasajili kwa ajili ya kuifunga simba kweli kupanga ni kuchagua na mpira una taratibu zake ndo hzo simba walifuata .
Hao friends rangers na transit camp pamoja na mbuni hawawezi wakawasaidia chochote kwenye Caf champions league huku kila kitu ni tofauti kubalini kujifunza next time.
NB : SUBIRINI TAR 23 MUIFUNGE SIMBA MRUDI KIGAMBONI KUCHEZA NA WAVUVI NDO MLICHOBAKISHA
Yanga n timu oga Sana HAPA shabiki wa yanga anajaribu kujustify kuwa de agosto n timu mbovuFT: Cd de Agosto 2-6 Namungo FC
Oneni nyinyi aibu na timu lenu bovu.G
Halafu hata aibu hawaoni.
Hao ndio wale wanaitwa mashabiki maandazi yaani Wana sifa zile alizosema luc eymelYanga n timu oga Sana HAPA shabiki wa yanga anajaribu kujustify kuwa de agosto n timu mbovu
Kwa akil hiz ndugu zangu tutafika
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hawana akili nasikia..unakuta mtu mzima anarudia comment moja uzi mzima wakati wao wameshindwa kumchapa Alhail bao japo mbili tuu wakati wenzao tuliwafumua 4 halafu hao ni Namungo sisi ni Simba. Yani wanaacha kujifunza na kuangalia mnyama anawazidi mbinu gani. Yani sema hizi Id zinaficha mengi sana yani ukiangalia comment na mtu hazifanani. HahahahqAlikufa al ahly
Akafa as vita
Akafa nkana red devil
Akafa plateau United
Lete takwimu zenye kueleweka msimu uliopita na msimu huu tofauti ndo maana mnaitwa utopolo
Gsmm anaonga wachambuzi maandazi ili waipambe uto kwenye media na kuwaponda Simba, hatma yake ndio hio sasaHabari za weekend mashabiki wa soka wa Tanzania na east Africa kwa ujumla na
Hongera kwa wana lunyasi kwa kuwakilisha taifa na kutuheshimisha kama nchi ila ndugu zetu hawakujiandaa na haya mashindano kwasababu zifuatazo:β
Wakati simba wanaenda pre season wao wakabaki kigamboni wakawahonga wachambuzi makanjanja waponde pre season.
Wakati simba wanaenda Sudan kucheza mashindano waliyoalikwa na al hilal wao wakaponda na wachambuzi makanjanja wakaponda .
Wakati simba anaenda zanzibar kutafuta fitness wao wakaponda wakaona bora kufanya mazoezi coco beach kwenye mchanga kuliko kucheza game kutafuta fitness .
Wakati simba wanasajili kwa ajili ya Caf champions league wao wanasajili kwa ajili ya kuifunga simba kweli kupanga ni kuchagua na mpira una taratibu zake ndo hzo simba walifuata .
Hao friends rangers na transit camp pamoja na mbuni hawawezi wakawasaidia chochote kwenye Caf champions league huku kila kitu ni tofauti kubalini kujifunza next time.
NB : SUBIRINI TAR 23 MUIFUNGE SIMBA MRUDI KIGAMBONI KUCHEZA NA WAVUVI NDO MLICHOBAKISHA
πππ Kwa hio Yanga kuifunga Simba ni fresh tu sio kawaida mkuu emu jaribu kuishtua akili yakoSUBIRINI TAR 23 MUIFUNGE SIMBA MRUDI KIGAMBONI KUCHEZA NA WAVUVI NDO MLICHOBAKISHA
Ilikuwa FRIEND MATCHHawana akili nasikia..unakuta mtu mzima anarudia comment moja uzi mzima wakati wao wameshindwa kumchapa Alhail bao japo mbili tuu wakati wenzao tuliwafumua 4 halafu hao ni Namungo sisi ni Simba. Yani wanaacha kujifunza na kuangalia mnyama anawazidi mbinu gani. Yani sema hizi Id zinaficha mengi sana yani ukiangalia comment na mtu hazifanani. Hahahahq
Pitia notes hizo hapo.FT: Cd de Agosto 2-6 Namungo FC