Referee amewachanganya wachezaji wa Moro Utd, mwanzo wa mchezo alikuwa amevaa vizuri tu nguo zilizo tofauti na wachezaji wa timu zote. Baada ya half time, alirudi uwanjani na mavazi yanayofanana na jezi za Moro Utd, ndipo wachezaji wakaanza kumpa pasi !! Haileweki alibadili kwa sababu gani. Au kwa kuwa vile vyumba vinaitwa "vyumba vya kubadilishia nguo" ?