Yanga Hatari! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yanga Hatari!

Discussion in 'Sports' started by MzalendoHalisi, Jan 27, 2009.

 1. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Leo Yanga imeibanjua Mtibwa 1-0.

  Ubingwa sasa unanukia!

  Hakuna wa kuikaribia Yanga

  Simba Mpo????
   
 2. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mnyama mdebweeeeeeeeeeeedo.
   
 3. G

  GarageRules Member

  #3
  Jan 27, 2009
  Joined: Aug 8, 2008
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzalendo,
  nani aliyeifungia yanga hilo bao?
   
 4. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Yanga hata golikipa anafunga.....yaani wee acha tu....
   
 5. A

  Amwanga JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2009
  Joined: Jan 11, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Du yeboyebo tunapiga mwaka huu, that is good, vipi simba wameendeleza ubabe?
   
 6. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Simba wanacheza kesho na Prisons.
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Invisible, Masatu mko wapi? Yanga balaaaa
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Invisible, Masatu mko wapi? Yanga balaaaa
   
 9. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  KAGODA FC bwana, maneno meeeeeeeeeeeengi! Haya huu ni mwaka wenu kuanzia uwanjani hadi mahakamani! Kwi kwi kwi
   
 10. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yeyote atakayepata matokeo ya wekundu wa msimbazi (Simba) na Prisons, atuwekee tafadhali.
   
 11. Kuntakinte

  Kuntakinte JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2009
  Joined: May 26, 2007
  Messages: 704
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu Ndege ya Uchumi, umegonga penyewe yaani mule muleeeeee
   
 12. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wekundu wa Msimbazi wameishinda Prisons 3-1. Wanakumbuka shuka asubuhi...

  Hii ni kwa mujibu wa dullonet.com
   
 13. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Yo Yo upo?
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Watakuwa wamebahatisha kama hawa kununua referee
   
 15. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mimi ni Yanga tangu nina miaka kumi.
  Lakini sasa kitendo cha pesa yetu kutumika kufadhili mpira hata kama ni kwa timu ninayoipenda kimeniudhi sana.
  Yanga tutafute njia nyingine ya ku finance timu yetu.
  Haya mambo ya kutegemea Maji kila siku atufadhili kwa kweli kinatudhalilisha.
  Najua mwisho watatuita EPA haooooooooooo. Aibu hii tutaificha wapi?
   
 16. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Madega: Kipa mzungu sasa safi
  Jessca Nangawe

  MWENYEKITI wa klabu ya Yanga, Imani Madega amesema kipa wa timu hiyo, Mserbia Obren Curkovich kwa sasa anaweza kushiriki Kombe la Shirikisho baada ya leseni yake kukamilika.


  Obren ambaye anaichezea Yanga baada ya kusajiliwa akitokea nchini Serbia alikuwa katika hatihati ya kutoshiriki mashindano hayo baada ya leseni yake kuzuiwa na shirikisho la mpira la Afrika (CAF) baada ya kutaka maelekezo kama mchezaji huyo anaichezea Yanga kihalali na ITC inatambulika.


  Akizungumza na Mwananchi jana, Madega alisema tayari wamekamilisha maelekezo yote kwa shirikisho hilo na kwa sasa mchezaji huyo yuko huru kucheza mchezo wa kesho dhidi ya Etoile d'Or Mirontsy ya Comoro kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam.


  "Kikubwa ambacho tulikua hatujakamilisha kwa golikipa huyu ni vivuli vya hati yake ya uhamisho ambapo CAF walikua wakihitaji lakini tayari tumefanya mazungumza na chama cha soka nchini Serbia na tumeshamalizana na tatizo hilo," alisema Madega.


  Yanga itapambana na Wacomoro hao ikiwa ni mchezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika.


  Naye kocha wa Yanga Dusan Kondic amejipa matumaini ya kuibuka na ushindi mnono kutokana na maandalizi ya timu yake ingawa amedai mchezo utakuwa mgumu kutokana na timu zote kutokuwa na historia na timu pinzani.

  My Take: Ina Maana Jamaa ameshiriki mechi za ligi kuu bila yakuwa amekamilisha uhamisho wake wa Kimataifa!
   
 17. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,281
  Likes Received: 4,286
  Trophy Points: 280
  Mkubwa hizo ndio siasa za simba na yanga
   
 18. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #18
  Feb 4, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,281
  Likes Received: 4,286
  Trophy Points: 280
  Wenye matokeo ya Yanga(KAGODA FC) na Moro watupe update
   
 19. A

  Amwanga JF-Expert Member

  #19
  Feb 4, 2009
  Joined: Jan 11, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Jamani na kafungwa kati ya Yanga na Moro?
   
 20. JuaKali

  JuaKali JF-Expert Member

  #20
  Feb 4, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 785
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamani hizo habari vipi? hakuna mtaalam yeyote uwanjani?
   
Loading...