marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 968
- 1,694
Matokeo ya uwanjani ndio yanayo wapeleka mashabiki uwanjani na ndio yanayo wakimbiza mashabiki uwanjani. Haji Manara wala Dismas ten awana uwezo wowote wa kuwahamasisha mashabiki ambao hawana uhakika na matokeo ya uwanjani. Yanga ndio timu yenye mashabik wengi katika ukanda uu wa Afrika mashariki na kati ila matokeo ya uwanjani ndio yanawafanya mashabik kutofika viwanjani. Kama yanga itarudisha ubabewake uwanjani uwanja utakua hautoshi.Mnyonge mnyongeni, Haji anachangia sehemu kubwa ya munkari kwa timu na mashabiki
Hapo kwenye idadi kubwa ya washabiki, umetumia akili ya zamani. Kung'uta vumbi lililojaa kwenye ubongo wako kwanza, halafu uandike upya!Matokeo ya uwanjani ndio yanayo wapeleka mashabiki uwanjani na ndio yanayo wakimbiza mashabiki uwanjani. Haji Manara wala Dismas ten awana uwezo wowote wa kuwahamasisha mashabiki ambao hawana uhakika na matokeo ya uwanjani. Yanga ndio timu yenye mashabik wengi katika ukanda uu wa Afrika mashariki na kati ila matokeo ya uwanjani ndio yanawafanya mashabik kutofika viwanjani. Kama yanga itarudisha ubabewake uwanjani uwanja utakua hautoshi.
simba ganiinayocheza mpira mzuri!?Mm kila siku huwa nasema km kweli haji mhamasishaji mbona alishindwa kuhamasisha watu kujaa uwanjani tangu 2014 hko? Watu wameanza kujaa Simba hii ya mo uwekezaji mzuri mpira mzuri lazma watu wajae uwanjani tusilete sifa za kijinga kwa hyo mropokaji mashabiki wanapenda matokeo!
Hilo ni kweli kabisa na sababu zake ni rahisi tu.Mnyonge mnyongeni, Haji anachangia sehemu kubwa ya munkari kwa timu na mashabiki
Matokeo ya uwanjani ndio yanayo wapeleka mashabiki uwanjani na ndio yanayo wakimbiza mashabiki uwanjani. Haji Manara wala Dismas ten awana uwezo wowote wa kuwahamasisha mashabiki ambao hawana uhakika na matokeo ya uwanjani. Yanga ndio timu yenye mashabik wengi katika ukanda uu wa Afrika mashariki na kati ila matokeo ya uwanjani ndio yanawafanya mashabik kutofika viwanjani. Kama yanga itarudisha ubabewake uwanjani uwanja utakua hautoshi.
Yanga wanachukia serikali ya awamu ya tano..baada ya kumtesa Yusuf Manji..watu wa Yanga walimpenda sana Yusuf...wameleta vibaraka wao..tukutane kwenye sanduku la kura 2020...
Haji Manara ana mchango mkubwa sana aisee, umesahau alivyokuwa anapambana mpaka kuja na TV kwenye press, Haji anamchango wake na Hamasa yake, umesahau majina kama Kwasu kwasu fc, gongowazi, mbutembute yametoka kwa haji leo kila mtu anayatumiaHemed Suya.
Kwanza nianze kwa kuwasalimu, na kuwatakia Eid l-Adh-ha Mubaarak jamii yote ya wapenda soka.
Jion hii nalazimika kushika kalamu kuandika baada ya kumaliza mialiko ya nyama kutoka sehemu mbali mbali na sasa nikiwa nimeshiba vyema naukumbuka mjadala unaoendelea mitandanoni kumhusu Dismas Ten nami nalazimika kuweka machache sana kumhusu.
1. Ten analaumiwa kwa kushindwa kuwahamasisha wanayanga kwenda uwanjan kushangilia mechi yao dhid ya Township Rollers, Ten analaumiwa eti hafanyi kama Manara kuhamasisha watu kujaa uwanjani! Katika hili wanamuonea Ten si kweli.
2. Sio kweli kwamba Haji Manara ndio chachu ya mashabiki wa Simba kujaa uwanjani, hapa nitauliza swali dogo sana, hv Haji kaanza kazi Simba msimu uliopita? Kama kaanza kazi Simba siku nyingi kwa nn watu walikuwa hawajai huko nyuma mpaka msimu uliopita?
Swali lingine, Simba wakati wanafunagwa goli 5 na Al Ahly Manara aligombana na mashabiki wa Simba kias ambacho Haji hakuhusika kabisa ku promote game ya marudiano.
Na ile game bado Simba walijaza sana uwanja, kama kweli Simba huwa wanajaza kwa sabb ya Haji mbona uwanja ulijaa licha ya Haji kutoi promote hyo game?
3. Hapa utagundua sio kweli kinachofanya Simba wajae uwanjani ni Haji. Licha ya yy mwenyewe Haji kujisifu kwa hiki lkn sio kweli kwamba anastahiki sifa hizi kwa sababu Haji alianza kazi tangu 2014 lakini Simba haina miaka miwili kuanza kujaza uwanja, pia game ya Ahly hakupiga promo na bado uwanja ulitapika. Hapa kipo kitu cha ziada kinachofanya Simba waende uwanjan na ni kikubwa kuliko kelele za Haji. Ni nn hiko?
4. Ni matokeo bora na mpira mzuri unaoonyeshwa na team ya Simba ambayo ni matokeo ya awali ya uwekezaji ndani ya klabu hii. Mashabiki wana hamasa na hamu ya kuiona team yao na wakienda uwanjani wanakutana na team kweli yenye kucheza mpira mzuri na kuwapa matokeo. Kitu kinachowaongezea hamasa.
5. Kwa Yanga week ya Mwananchi ilikuwa na hamasa kubwa sana sana kias kilichopelekea mashabiki wengi sana uwanjan kuwah kutokea.
Lakini walichokiona kiuchezaji kuhusu team yao bado sio kwa kiwango kikubwa walichokitarajia hasa baada ya kuwa na iman mwaka huu wana team bora sana. Kiwango walichokiona hakikutosha kuwahamasisha wajae uwanjan ten kwenye mechi ya klabu Bingwa dhid ya Township Rollers.
6. Lazima yanga wakubali fact kwamba kwa sasa Simba wamewazid kwa hatua kubwa sana hasa kwenye branding ya team yao. Ni kweli kwamba yanga ni wa pili baada ya Simba, ni ukweli kwamba Unapoitaja Simba basi mwenzake unayeweza kumtaja lazima awe yanga, Ila kiuhalisia kuna gap kubwa sana kwa sasa baina ya Simba na Yanga
Simba wamefanikiwa kwenye Branding, na Brand yao inaendelea kukua kwa kasi siku baad ya siku. Yanga bado wako nyuma sana, ni Hii brand ya Simba inayowahamasisha mashabiki wao kujaa uwanjan. Anachokifanya Haji ni kitu kidogo kama Sugar coating au Sugar icing kwenye cake iliyo tayari.
7. Kwa hiki kinachoendelea leo Pale yanga ni kumuonea tu Dismas Ten, wala sio kosa lake hata afanye kama Haji wala yanga hawatojaa, na ukitaka kuamini Ten wa swap nafas yake na Haji uone kama Ten hatajaza watu Simba na Haji akashindwa kujaza kule kwa yanga. Ni lazima yanga watafte mwekezaji atayeweka hela ya kutosha kwenye team yao, akasaidia kukuza zaid brand ya klabu yao na kazi ya kujaza uwanja itakuwa kama kumsukuma mlevi tu.
Kwanza punguza chuki kwa H.Manara mkuu..Mm kila siku huwa nasema km kweli haji mhamasishaji mbona alishindwa kuhamasisha watu kujaa uwanjani tangu 2014 hko? Watu wameanza kujaa Simba hii ya mo uwekezaji mzuri mpira mzuri lazma watu wajae uwanjani tusilete sifa za kijinga kwa hyo mropokaji mashabiki wanapenda matokeo!
Huu ndo ukweli ambao baadhi ya fans wa yanga hawautaki.NakumBuka miaka ya nyuma Sikuwa mpenzi Sana wa kutazama soka la bongo, lkn siku hizi kila nikisikia simba ana cheza nina Shauku ya kukaa kitako niwatazame.Yanga wana kazi Kubwa ya Kufanya wawafikie simbaHemed Suya.