kuduman201036 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2015 Posts 4,058 Reaction score 2,183 Feb 21, 2016 #41 simba 0-YANGA 2
shemaghotwe Member Joined Apr 14, 2014 Posts 93 Reaction score 67 Feb 21, 2016 #42 Mpira hauchezwi mdomoni ni uwanjani afu mikia hamna uwezo wa kutafsir sheria 17 ndo maana mtabaki kuwa wa mchangani Na refa angekuwa makini zaidi Ngoma alipaswa kupewa penalty baada ya kuangushwa ndani ya box...akauchuna
Mpira hauchezwi mdomoni ni uwanjani afu mikia hamna uwezo wa kutafsir sheria 17 ndo maana mtabaki kuwa wa mchangani Na refa angekuwa makini zaidi Ngoma alipaswa kupewa penalty baada ya kuangushwa ndani ya box...akauchuna
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,824 Reaction score 13,781 Feb 22, 2016 #43 mlishagongwa mnyama nyie..........
C CTX JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 1,273 Reaction score 987 Feb 22, 2016 #44 duuuh kumbe mashabiki wa yanga wapo wengi
N nandengele JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 689 Reaction score 810 Apr 22, 2016 Thread starter #45 Haya sasa wakimataifa
Nyenyere JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 14,842 Reaction score 10,765 Apr 23, 2016 #46 Mikia FC wazee wa kulalamika. Mwakani tena mtaendelea kuchangia thread za wakimataifa.
Last emperor JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 10,346 Reaction score 9,889 Apr 23, 2016 #47 yanga timu ya marefa.Ndo maana simba akikamataga anapiga 4,5,6....goli mingi mbaya kabisa
mkolaj JF-Expert Member Joined Mar 24, 2014 Posts 3,023 Reaction score 1,092 Apr 24, 2016 #48 Last emperor said: yanga timu ya marefa.Ndo maana simba akikamataga anapiga 4,5,6....goli mingi mbaya kabisa Click to expand... Hatupati shida na wewe, Hans Poppe alishasema washabiki wa simba kama wewe ni Wapumbavu. Umesahau kama umeliwa nje ndani siku si nyingi!!?!!!!!
Last emperor said: yanga timu ya marefa.Ndo maana simba akikamataga anapiga 4,5,6....goli mingi mbaya kabisa Click to expand... Hatupati shida na wewe, Hans Poppe alishasema washabiki wa simba kama wewe ni Wapumbavu. Umesahau kama umeliwa nje ndani siku si nyingi!!?!!!!!