Yanga 7-0 Mashujaa hiyo Kesho

Wachezaji wa Yanga hawajitumi, ni kama wamechoka sana.
Je, hii timu inaweza rudi katika ubora wake kweli? Au ndio basi tena.

Huko kwenye makundi tutaenda kutia aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…