Tatizo kubwa lipo kwenye sheria za kupata serikali ya kidemokrasia.
Wanazungumzia vyama vya siasa huku wakiwanyima wananchi walio wengi haki ya msingi ambayo ni haki ya kumchagua yupi bora kwako.
Chadema sio muarobani.Muarobani ni kuwa na mgombea au wagombea binafsi.Pale ndio tutaondokana na ujima wa vyama vya siasa.