Gody U made my Saturday. Umetisha, hii kitu "ilinzizi kama uchi". Mwabie mgogo akutafsirie maneno yaliyo kwenye mabano kama huelewi Kigogo.>>>>>WAGOGO watatu walikwenda kumtembelea ndugu yao mjini nae akawakaribisha kwa kuwapa soda walipoondoka mmoja wao akaweka kizibo cha soda mfukoni badae walipofika mbali akamnong'oneza mwezie kuwa '' ANE NOMUYAGO NASOLA NE MBEYU YONOCHING'WA.'' yaani (mimi mwenzio nimechukua na mbegu ambayo tumekunywa) weekend njema!!
>>>>>WAGOGO watatu walikwenda kumtembelea ndugu yao mjini nae akawakaribisha kwa kuwapa soda walipoondoka mmoja wao akaweka kizibo cha soda mfukoni badae walipofika mbali akamnong'oneza mwezie kuwa
'' ANE NOMUYAGO NASOLA NE MBEYU YONOCHING'WA.'' yaani (mimi mwenzio nimechukua na mbegu ambayo tumekunywa)
weekend njema!!
Gody U made my Saturday. Umetisha, hii kitu "ilinzizi kama uchi". Mwabie mgogo akutafsirie maneno yaliyo kwenye mabano kama huelewi Kigogo.