yamenikuta nifanyeje??

Wewe pga fasta hapo utakuwa hulipi kodi tena

Bob ally use BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Aliingiaje chumbani kwako?.Tuanzie hapo!
 
Mkuu mama wa mwingine si mamayo
Sasa unatusumbua nini kama humuheshimu kama mama yako? umeshamwona kama binti basi endelea kujipakulia. Siku utakapokamatwa na mumewe utatahiriwa kwa panga na ndipo utakapojua kumbe naye ni mamayako.
 
Duuh kumbe kugawana ukimwi sikuhizi nako ni sifa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…