Yamempata aliyonifanyia

Join Date : 11th March 2015
mmmmmh
 
Humu javini kuna mijitu mizima lakini nadhani haijabalehe ka mijitoto ya chekechea
 
MLALUKO JR

Muraaa! MLALUKO, huo sasa ndiyo uamzi murua! safi sana, mgegede halafu piga kibuti mamaye!!!
 
Last edited by a moderator:
nashauri tuwe na jukwaa la watoto nao wawe wanajadili mambo yao huko.
 
Ila level ya. Chuo ni kakubwa mpeni Ushauri tu
 
Hii Kitu Mods Futa Haraka
Big Results Now (BVR)
Ni Shida Sana

Unawahi Mapenzi

Hii yakwako ndo ifutwe kabisaaaa, tangu lini BRN ikawa BVR
Au ndo wale wale nn!:what::what:
 
Pole sana mkuu.
Japo uko chuo mwaka wa pili lakini bado una mapungufu flani flani kama binadamu wengine, jipange kiuandishi.

Andika kwa paragragh.

Panga Kisa/Visa Vizuri.

Weka hitimisho vizuri.

Utaeleweka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…