ALLGASSIM HASSAN
Member
- Nov 14, 2019
- 16
- 8
Sikuwahi kudhani kama hivi vidude ni gharama kiasi hikiHabari, nauza hi Yamaha boat engine kwa bei poa kabsa ikiwa kweli hali nzuri karibia mpya.
Yamaha 115
Fuel injection
Fourstroke
Petrol
115hp
Bei 11m negotiable mapatano kdg
Pia nakubal exchange
0778920344
View attachment 2694055
View attachment 2694052View attachment 2694053View attachment 2694054View attachment 2694056
Ile Azam Tax inazo 2 ambazo ni dollar 36,000Sikuwahi kudhani kama hivi vidude ni gharama kiasi hiki
Tena hyo bei ya usedKumbe hivi vidude bei kubwa
Sikuwahi kudhani kama hivi vidude ni gharama kiasi hiki
Yes ile moja ni 250hp mziki mzitoIle Azam Tax inazo 2 ambazo ni dollar 36,000
Iko wapi hiyo Mitumbwi?Hivi hiyo mitumbwi kumkodisha mtu kwa siku ni bei gani unaweza ukaingiza...?
Bei hufuatana na nguvu ya engine na hali yake (mpya/used). 3m unaweza pata horsepower 15 used iliyo na hali nzuri.Nijuaga ni m3 au 2.5 kumbe bei ya IST
Hiyo inayotumia hiyo engine...!Iko wapi hiyo Mitumbwi?