Huku 2nakoelekea sasa tutakuja kuambiwa hata sisi si watanzania tunapewa nchi nyingne na tanzania ni ya nchi nyngne kwel nyerere angeweza kurud tena tusingekuwa na maisha tunayoishi sasa hv,.viwanda vingefufuliwa na vijana weng wangekuwana ajira na wizi ungepungua kwel WATANZANIA TUNAUZWA..tutamkumbuka sana nyerere.
Dear Nyerere:
Mlima Kilimanjaro upo Kenya,ziwa Nyasa lipo Malawi,tanzanite ni ya Nairobi,Tanesco ni ya Lowasa na rais anaishi airport.
Zamani ukiongelea kilimo tulikuona kwa vitendo shambani.Siku hizi waheshimiwa wanawekewa red carpet ili wapende miti.
Hukupenda kuuza sura,hatakuona picha yako na Michael Jackson au Phil Collins, ila prezidaa anajiandaa kupiga picha na Lady Gaga.
Siku hizi vijana wengi hatutaki kujituma kazini wala kujitolea kujenga Taifa...tunataka utajiri wa haraka tu.
Vijana wa kiume wazalendo sana.Wanavaa suruali za bluu,kijani,njano na wanavaa za kubana sana ili kubana matumizi ya vitambaa.
Huku 2nakoelekea sasa tutakuja kuambiwa hata sisi si watanzania tunapewa nchi nyingne na tanzania ni ya nchi nyngne kwel nyerere.
Teh teh teh nimeipenda hii.
Dear Nyerere:
Mlima Kilimanjaro upo Kenya,ziwa Nyasa lipo Malawi,tanzanite ni ya Nairobi,Tanesco ni ya Lowasa na rais anaishi airport.
Zamani ukiongelea kilimo tulikuona kwa vitendo shambani.Siku hizi waheshimiwa wanawekewa red carpet ili wapende miti.
Hukupenda kuuza sura,hatakuona picha yako na Michael Jackson au Phil Collins, ila prezidaa anajiandaa kupiga picha na Lady Gaga.
Siku hizi vijana wengi hatutaki kujituma kazini wala kujitolea kujenga Taifa...tunataka utajiri wa haraka tu.
Vijana wa kiume wazalendo sana.Wanavaa suruali za bluu,kijani,njano na wanavaa za kubana sana ili kubana matumizi ya vitambaa.
haya yanawezekana