TGInnocent JF-Expert Member Joined Feb 7, 2013 Posts 1,088 Reaction score 583 Mar 19, 2015 #1 Kulikuwa na thread leo (19.03.15) ikidai kuwa Zitto angeaga wabunge leo. Sijasikia kama tukio hilo limetokea, au taarifa zilikuwa uzushi tu!?
Kulikuwa na thread leo (19.03.15) ikidai kuwa Zitto angeaga wabunge leo. Sijasikia kama tukio hilo limetokea, au taarifa zilikuwa uzushi tu!?
T Thermo Member Joined Mar 16, 2015 Posts 10 Reaction score 4 Mar 20, 2015 #2 Huo ni umbea tu badala ufanye kazi we unakaa na kukodoa macho kwenye screen ya tv eti Zito kuanga. Aya baada ya kuaga utafaidika na nini
Huo ni umbea tu badala ufanye kazi we unakaa na kukodoa macho kwenye screen ya tv eti Zito kuanga. Aya baada ya kuaga utafaidika na nini
TGInnocent JF-Expert Member Joined Feb 7, 2013 Posts 1,088 Reaction score 583 Mar 20, 2015 Thread starter #3 Thermo said: Huo ni umbea tu badala ufanye kazi we unakaa na kukodoa macho kwenye screen ya tv eti Zito kuanga. Aya baada ya kuaga utafaidika na nini Click to expand... Eeh dada mbona unamfikiria kila mtu hufanya umbea kama ulivyo zoea. Wewe huwa unakodolea macho kitu gani?
Thermo said: Huo ni umbea tu badala ufanye kazi we unakaa na kukodoa macho kwenye screen ya tv eti Zito kuanga. Aya baada ya kuaga utafaidika na nini Click to expand... Eeh dada mbona unamfikiria kila mtu hufanya umbea kama ulivyo zoea. Wewe huwa unakodolea macho kitu gani?