Mwanaume wa Shoka
Member
- Feb 15, 2014
- 99
- 17
mm ni fundi niliye jiajiri kazi zangu za gereji nilikuwa na ndugu yangu tunarudi kutoka maangaikoni nikatoa1000 nauli ya ubungo ya kwangu na ndugu yangu mm nikaomba wanishushe Makuburi nikapitilizwa kituo kisa walikuwa wana kimbilia abiria kwani zilikuwa gari mbili za mbagala nilipo omba kurudishiwe nauli wakagoma ikawa niugomvi wa abiria wote wakishinikiza konda na dereva gari lipeleke kibangu polis tukatoa maelezo cha ajabu konda na dereva wakaondoka sisi tukalala ndani hadi leo tumepelekwa mbezi polis kwamba tumesababisha upotevu wa hesabu ya siku ambayo ni 420000 je wanasheria naombeni msaada wenu naambatanisha picha ya gari
Duh pole sana mkuu, tafuta wanasheria hapo wakusaidie kaka wakina lissu au mnyika wanaweza kukupa muongozo mnyika ni member humu.. Pole sana kaka, hii nchi imeoza kila sehemu ni njaa tu.
Hili jamaa zuzu kweli! Eti linajiita "mwanaume wa shoka!"Picha ya gari iko wapi?
Maelezo yako yameacha maswali mengi mno! Leta picha hiyo kwanza kisha tuendelee na mjadala.
Nenda SUMATRA ndiyo wanahusika na malalamiko kama haya.
Waweza kuta ni gari la polisi fuatilieni muone.....
mkuu get sumtra ni wapuz kuliko police wakipgiwa ata na tibaigana ama mh mahta mwenye dalala nyingi asizozjua wanakuwa ovynenda sumatra ndiyo wanahusika na malalamiko kama haya.
Unamshaurije?mkuu get sumtra ni wapuz kuliko police wakipgiwa ata na tibaigana ama mh mahta mwenye dalala nyingi asizozjua wanakuwa ovy
. Ndg usirudie tena kuomba ushauri, walivyo kushambulia yaelekea jf ina memba wengi wasafirishaji abiria.mm ni fundi niliye jiajiri kazi zangu za gereji nilikuwa na ndugu yangu tunarudi kutoka maangaikoni nikatoa1000 nauli ya ubungo ya kwangu na ndugu yangu mm nikaomba wanishushe Makuburi nikapitilizwa kituo kisa walikuwa wana kimbilia abiria kwani zilikuwa gari mbili za mbagala nilipo omba kurudishiwe nauli wakagoma ikawa niugomvi wa abiria wote wakishinikiza konda na dereva gari lipeleke kibangu polis tukatoa maelezo cha ajabu konda na dereva wakaondoka sisi tukalala ndani hadi leo tumepelekwa mbezi polis kwamba tumesababisha upotevu wa hesabu ya siku ambayo ni 420000 je wanasheria naombeni msaada wenu naambatanisha picha ya gari