Goodluck Mshana
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,271
- 1,119
Tukisema hatumpi Magufuli kura mnang'aka. Mnakuwa wakali huku kutwa kucha mnakuja na propaganda mpya na chafu... Nisiingie huko.
Naomba wale vindakindaki na mgombea wao wawajibu Watanzania. Tena Leo hii wala isingoje kesho. Kwanini mmezidi kuwa na ahadi hewa za kuwahadaa wananchi?! Mabasi ya Mwendo Kasi yako wapi nyie kijani na njano?!
Mmeowaonjeza ile siku ya kwanza kwa kuwapakia bure. Sasa tuelewe kuwa mlinunua magari then hamkuwa na mafuta? Ama mmeyapeleka Nairobi kuweka sawa ile milango yetu kama koti la Mzee Wasira?! Au mbwembwe za pressure za kukabidhi Ikulu October?!
Lizabon sijui Lizangati kuja hapa ujibu. Kura zinazidi kupungua kwa ccm-kuchereee...a.k.a Mzee wa Kushangaa (foreigner)

Saa nyingine naamini Mkapa alikua sahihi. Yale mabasi walileta kwa ajili ya mafunzo na mrado utaanza october na ilitangazwa kabisa. naona siasa inewalevya
Kuna mzee mmoja alisema 'kama JF inawakilisha mawazo ya vijana wa nchii,basi tuna tatizo kubwa'....nakubaliana na huyo mzee kwa kusoma comments za watu JF.
Na kweli Mkapa alikuwa sahihi.
Yanapita kwa kasi zaidi ya mwanga (light) hivyo hawezi yaona wala kupanda. Kwa lugha nyingine ni kiini macho!