Wasalaam wana JF, mitikasi za maisha zipo poa..!?
Baada ya matumizi ya mda mrefu ya condom nmebadilisha uamuzi na kuamua kuachana nazo kabisa. Sababu zikiwa ni hizi..
- Zina fanya tendo kuwa halina msisimko na kuchelewesha ejaculation.
- Plastics na mafuta yenye kemikali yatengenezayo condoms huleta madhara mengi mwilini likiwamo swala la saratani na kuchochea upungufu wa nguvu za kiume.
- Nilipenda kuzitumia kama kinga ya mimba zisizotarajiwa ila mara kwa mara ni bahati ndio ilikuwa inanitokea mwanamke hapati mimba. Wanawake niliokutana nao wengi walikuwa watundu kitandani hasa hawa madada wa kipwani. Yaani wakinogewa hutumia kucha wanazopenda kfuga kuzitoboa condom. (rejea matumizi ya kucha kwa mwanamke aliefundwa tendo la ndoa) Mwisho wa gemu unakuta condom ipo kama pete ktk uume na umeacha mbegu ndani. Its very risky using condoms as pregnancy preventives.
Kutokana na mambo hayo juu nimeona nisambaze ujumbe ili tuchukue tahadhari.