Zero IQ JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 13,985 Reaction score 25,204 Aug 31, 2018 #1 Yaweza ikawa ni kama picha tu isiyo na maana lakini picha hii ya watoto inaeleza mengi yajayo katika nchi ile ya Ahadi. Hapa namuona jaji lubuva akitangaza matokea ya uraisi mwaka 2020 mbele ya vyombo vya habari huku Nyuma akilindwa na vyombo vya usalama(Polisi). Je wewe unamuona nani? Yajayo yanafuraisha let's wait and see. Sent using Jamii Forums mobile app
Yaweza ikawa ni kama picha tu isiyo na maana lakini picha hii ya watoto inaeleza mengi yajayo katika nchi ile ya Ahadi. Hapa namuona jaji lubuva akitangaza matokea ya uraisi mwaka 2020 mbele ya vyombo vya habari huku Nyuma akilindwa na vyombo vya usalama(Polisi). Je wewe unamuona nani? Yajayo yanafuraisha let's wait and see. Sent using Jamii Forums mobile app
ThugMaster JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 1,601 Reaction score 2,275 Aug 31, 2018 #3 Nchi ya kusadikika..,