M MLEMVYA RASHID Member Joined Aug 1, 2013 Posts 89 Reaction score 11 Jun 19, 2015 #1 Habari zenu wana JF! Naomba kuuliza, kama kuna mtu anafahamu tarehe ya kutolewa majina ya uhamisho, namaanisha vibali vya June 2015 anihabarishe. Ni tarehe gani watatoa? Asanteni.
Habari zenu wana JF! Naomba kuuliza, kama kuna mtu anafahamu tarehe ya kutolewa majina ya uhamisho, namaanisha vibali vya June 2015 anihabarishe. Ni tarehe gani watatoa? Asanteni.
K kihedemuswede Senior Member Joined Nov 25, 2013 Posts 141 Reaction score 41 Jun 19, 2015 #2 Wapi vitatolewa? TAMISEMI Dodoma au Utumishi Magogoni?
R roundabout Member Joined Jun 14, 2015 Posts 16 Reaction score 2 Jun 19, 2015 #3 Hii ishu ya vibali ni shida kweli. Kuna mtu ameomba kibali alkambia kitoka baada ya siku 21 za kazi. Zimeisha ameenda haijafanyiwa kazi. Kasubiri wiki mbili zimepita hola. Kaenda tena ameambiwa after 2 weeks
Hii ishu ya vibali ni shida kweli. Kuna mtu ameomba kibali alkambia kitoka baada ya siku 21 za kazi. Zimeisha ameenda haijafanyiwa kazi. Kasubiri wiki mbili zimepita hola. Kaenda tena ameambiwa after 2 weeks