YAH . WARAKA WA PROPASAL (POSA) KATI YA MR. BAGAH Vs MISS. VIVIAN .

ha ha ha, asante Judgy, tutakutana kwenye kamati ya sherehe hizi.

Huyo unayemuongelea sijuikaenda wapi!

 

hizi nakala mbona haipo iliyofika home mi dadaake sina taarifa
 
hizi nakala mbona haipo iliyofika home mi dadaake sina taarifa

Ma doudou!
Nimefurahi kutambua uwepo wako hapa .
Maadamu wewe umetia maguu hapa ni dhahiri ndiyo taarifa ishafika .
Kufika ama kuchelewa kwa nakala itakua mambo ya netwk, si unajua mambo ya mitandao ? Nadhani system iko down .
Tunachokuhitaji tuletee hapa nduguyo atumalizie agenda nangoja jibu lako.
 
kuna mtu alikudondokea. Nikutajie?

BT uko kwenye jokes au ? Laweza tokea la kutokea hapa suddenly ukasikia mshereheshaji (Judgement) kaanguka ghafla kakimbizwa Agakhan , kama yule mchezaji Fabrice Muamba wa Bolton wander alivyopoteza! Ohooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…