YAH . WARAKA WA PROPASAL (POSA) KATI YA MR. BAGAH Vs MISS. VIVIAN . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

YAH . WARAKA WA PROPASAL (POSA) KATI YA MR. BAGAH Vs MISS. VIVIAN .

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Mar 31, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kwa heshima na taadhima kubwa
  sisi washenga :-
  Judgement
  Husninyo (MR & MRS).
  ErickB52
  Amyner (MR & MRS).
  Kwa pamoja tunaichukua fursa ya Thrade hii, kuwasilisha Propasal ya kijana ndugu yetu BAGAH kwako Bi. Vivian wa Jf .
  Few hints about BAGAH .
  > Kijana wetu amefikia umri wa kupata mwenza.
  > Kijana huyu kielemu tumeridhishwa na kiwango chake.
  > BAGAH ni mpole, mkarimu, hana majivuno, ni mwenye kujali.
  > Ni mwenye kujua wajibu wa majukumu yake .
  Aidha ni matarajio yetu Vivian hutotuangusha!
  wala hatutegemei utatufedhehesha sisi washenga kwa ujumla wetu.
  Tunalisubiri jibu lako la faraja hapa.
  Ambavyo tunaamini utatuletea leo leo.
  Tunawasilisha.
  Nakala - Uongozi Jf.
  Nakala- Facebook
  Nakala- Twitter
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  na tena bagah kakiri anakupenda sana wewe Vivian, kila akikuwaza anamaliza kichane cha ndizi.

  Just say Yes.
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Huwezi amini !
  Ama sadiki ukipenda , furaha yangu ya kukuona hapa!
  Nasikia na vijichozi vinavinjari kwa mboni zangu.
  Pole mkuu, mukashoo au ndumwa si stahili yako kabisa!
  Hata hivyo hembu fanya umPm Mh. Maziwa mgando mnong'oneze atukolezee debe kwa agenda iliyo mezani .
   
 4. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Maskini Bi.Nyakonga anaachwa kwenye mataa hivihivi...
   
 5. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  welcome back!...umekuja wakati muafaka...ndugu yako napewa JIKO!.
   
 6. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mtally unaona mabraza wamenipiga taf!..kitu cha Vivy aisee...maliza shule na wewe utakula nono!..
   
 7. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Preta
  Sweetlady
  Smile
  Husninyo
  Canta
  Mwali
  Afrodenzi
  Dena
  Amyner
  Kaby
  Mpo wapi ? Hebu nitafutieni huko aliko mumlete hapa faster, nimenong'onezwa sijui yuko saluni, mleteni hivyohivyo aje apasue jipu hapa then arudi huko saluni .
  Vivian pls !
  Kijana wetu BAGAH akilazwa hospitali , kwa ajili ya presha wewe ndiyo utakua sababu .
  Hatutakuelewa .
   
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ....down to earth person!...
   
 9. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 1,262
  Trophy Points: 280
  hahahahaha...ila BAGAH hiyo Avatar yako itakucost UKWENI ujue
   
 10. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nakutamania bro, hivi nivigezo vipi vinavoangaliwa mpaka unakabidhiwa mke? Maana nahc nachelewa bro.
   
 11. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  mimi baba yake vivian wa kufikia kwa hiyo mnakaribishwa
   
 12. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  lakini hata mimi ni mjomba wake,nataka kumuuliza mhumba mtarajiwa kama hana kasfa yoyote huko nyuma(kabla)..
   
 13. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Duh! Yamekuwa haya?
   
 14. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  asante mkwe!...SL hajambo!.?
   
 15. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mtei naona braza wameamua...wanataka mdogo wao nisiwe kicheche...maana nimekua tishio mpaka kwa shemeji zao!..lakini ujue kifaa kimetulia icho...
   
 16. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ukaribisho huu ni dalili njema.
   
 17. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kaka jitahidi maana nimekua tishio kwa ndoa za watu...akiwepo braza Ericky...ila ww bado sijafika himayani mwako!..
   
 18. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  pole kwa burn mkuu kong's bunsen burner..
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  up to world lucifer!..
   
 20. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #20
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hongera yenu kwa kukuza..
   
Loading...