Yah kupotelewa na mke.


my dear x Excel
kwa kua umeamua kujitenga
haina noma,ndoa yangu imekua imara
kama zamani,nawe upate wa kukulove
mi niache na loya wangu!!
akikutoroka tena?

utatanga tanga tena kama zamani ex wa Excel?

but ukiwa na shida wangu, any one, consult me! i will do my best!
 
mwallu nashukuru kwa maombi mabaya lakini!

ulikuwepo kabisa wakati nafukuzia hii ngoma bana!

unajua Passion Lady ni boooonge la sweet woman!! yani kila angle, kila idara niliyogusa... nilikunika haswaaaaa!!!!!

basi tu nimeamua kumuachia huyu nyoka wa kijani...
 
Last edited by a moderator:
nilikuonya bado mapemaaa?
hata ivo umeona alichokisema?
 
nilikuonya bado mapemaaa?
hata ivo umeona alichokisema?

sijaona mama!!

unajua bado nina short run pain..!

passion alikuwa mtam bana hata kama ni x tayari,

hebu nambie kasemaje khusu mi!
 
af hapo nani ana m hit mwenzie na ku run?
mi naona dalili ya mapendo..hataki kukukosa moja kwa moja
hivi mwallu, kwa jinsi hii unamuonaje passion,

hii si si ni ile dalili ile ya ku hit and run kabisa jamaniii!!!

kwanini amekataa talaka? eenh?
 
af hapo nani ana m hit mwenzie na ku run?
mi naona dalili ya mapendo..hataki kukukosa moja kwa moja

kabisa kabisa mwallu!
Passion Lady ni mjanja kama nini!

anang'ata.... anapuliza!

by the way, namshukuru coz hakuwa anaweka pesa mbele!
 
Last edited by a moderator:

lakini husbnd,sheria inaruhusu
kua na waume zaidi ya 1!!
i love u my Excel,njoo chemba
nikukis bubuuuuuu!!wala sikuombi hela!!

jamani jamani!!! nilivyo mdhaifu kwako jamani!!

ntaibia siku moja niku-utilize fully!

such a romantic lady!!

my ex is awesome!
 
good bye Passion Lady.. i've never been hurt before like this..!
KOKUTONA thanks for your present my friend.. iam touched!
passion, i will remember you so so much!

Take it calm Excel up and downs za dizain hiyo utakutana nazo sana, just relax and give yourself time.
Time heals remember....
Wifi Passion Lady sio fair ujue ulivyofanya.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…