ndugu yangu ruttashobolwa.. Akanana wako passion lady ana vikoba vya kumwaga.. Mie niligundua hilo mapema sana japo alinisaidia kunipa kampani wakati paloma amesafiri.. Ila nina wasiwasi na eli79 maana mpaka juzi kati hapa alikuwa nae..
mimi nimeambiwa mara ya mwisho alionekana na wewe, alaf huko kwenye vikoba mbona wote wana sema hawafahamu?hivi mbona una nitafuta lakini?
mimi nimeambiwa mara ya mwisho alionekana na wewe, alaf huko kwenye vikoba mbona wote wana sema hawafahamu?hivi mbona una nitafuta lakini?
Hamna Ruttashobolwa.. muulize pacha wake Lady doctor.. Anaweza kujua lol..
huyo Lady doctor ndio hataki kusema kabisa.
Kumbe aliyepotea ni nani?!?!
Ndo ujue kutunza mke! Sio kuparamia tuu mradi ujulikane una ndowa! Heheee
Babe sosoliso kam zis wei beib...nikupe pepsi ya bariiid!!!
Aiseeee.
Hamna Ruttashobolwa.. muulize pacha wake Lady doctor.. Anaweza kujua lol..
minajua nini heee! Hebu niacheni na maumbea yenu!!!
Kwani hamjui kuwa ameolewa tena? Maana mie wala sijui pacha angu yuko wapi namtafuta kila kona!
Halafu alitongozwa kwa kiingleza na huyo Excel lol..
mi nilishamwambiaga shemeji Ruttashobolwa ajifunze kingereza alafu aongee kama wamarekani... ye anakandamiza kihaya tu cheki sasa ameachwa
Umekula dili wewe.. kiingleza za cha Excel kimekufanya umpigie upatu amchukue Passion Lady lol..
Ha ha ha ha lol.. Sasa ameshachelewa.. Chezea inglishi ya Excel wewe..
mi nilishamwambiaga shemeji Ruttashobolwa ajifunze kingereza alafu aongee kama wamarekani... ye anakandamiza kihaya tu cheki sasa ameachwa