Yah: Kununua kadi za wapiga kura

nicholau

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
133
Reaction score
49
Nimepata taarifa kuwa kuwa watu wananunua kadi za wapiga kura na wanaomba picha mbili na huyo mtu anatoa shilingi 1500 za kitanzania.

Watanzania hatujafika hapo, kuuza kadi ni sawa na kuuza uhuru wako. Tubadilike watanzania. Hii ni habari ya kweli na inafanyika maeneo ya ubungo, Mabibo na maeneo ya External.

Naomba wadau wafuatilie.
 
Hawajui kuwa kadi ya kura kwa sasa ndio kitambulisho cha uraia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…