Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,382
- 29,420
Sasa sijui tule nini, maana kila kitu ni sumu.
Wamaasai na wamang'ati wamefanyiwa Research hii? Jamii kubwa ya wafugaji hula nyama choma karne na karne
kila kitu kinaleta kansa.....anyway asante kwa kutualati baby.....
Kama huo utafiti ni wa kweli basi kusingekuwa na wazee wa Kimasai na Kimang'ati.Wamaasai na wamang'ati wamefanyiwa Research hii? Jamii kubwa ya wafugaji hula nyama choma karne na karne
Kwa wale tuliozoea na kupenda sana nyama choma, iwe ni ya kuku, mbuzi, ng'ombe au nyama aina nyingine, habari mbaya zinazoenea kwa kasi katika ulimwengu wa vyakula ni kwamba wanasayansi wanasema wamethibitisha kwamba uchomaji nyama unasababisha kansa ya ngozi, ini, tumbo na nyinginezo kutokana na kemikali zijulikanazo kama polycyclic aromatic hydrocarbons, moto uunguzapo nyama.
Wanasayansi wanasema huu ukweli umejulikana toka miaka ya 1960, na kwamba inatia ndani nyama za kukaushwa kwa moshi, kama vile samaki, nk.
Habari yenyewe ndiyo hiyo. Iliyobaki ni kuchagua kusuka au kunyoa.
Source:
Cancer risk from grilled meat: Is it time to give up smoked and fried foods?
Umenena.Ukichunguza zaid utagundua haohao ndo wanaongoza mahudhurio ya BBQ party
Hata usipokula kitu utakufa kwa njaaa