Yaaani unatuma msg kabisaaa Eti flani shoga!

WEWE MTU HIZO SHULE WEWE ZIMEKUFANYA NINI ?? UNA TATIZO NAZO KIVPI QEQE MTU ??



MHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHH ASEEEEEEEEEE USIPAKAZIE UONGOOO SHULE ZETU TULIZO SOMAAAAA




KINYUME NA MAUMBILE NI KUTOKANA NA UTANDAWAZI (GLOBALIZATION) NDO CHANZOO UKO UKO , NA SIO SHULE ZETU PLEASEEE CLEAN YOUR SHIT .....
 
Mimi niliipiga namba ya makonda lakini haikupokelewa maana nilitaka nimueleze shida zangu na maisha yalivyokua magum
 
Shule za serikali umezitoa?
 
Ukweli usiopingika seminary zinabana watoto sana hupelekea kuanza kutamaniana wenyewe.. mkuu ukimlinda mwanao sana hata hapo nyumbani wanaokuja mbikiri ni ndugu ... Bora shule za boys tupu za serial hawabanwi kama zule za seminary
Miaka yote seminary na boys and girls schools za serikali zilikuwepo na haya mambo hayakuwepo.
Kwanini hamjadili mfumo wa maisha haswa uwepo wa simu janja na tv na internet vimechochea kumea kwa tabia za kishoga na ngono zilisizo na star haswa kwa vijana? Dunia hii ili tuishi lazima tuwe na akili zaidi ya kuwalea watoto na tupendelee kuwapeleka likizo huko vijijini wakacheze zaidi na watoto wenzao walio wengi. Sikuhizi mtoto anakuwa hata watoto wenzao wa mtaa wa 2 hawafahamu anaenda shule na kurudishwa kwa gari. Watoto wa sikuhizi hata hajachangamka ukimpeleka mtaa wa 2 tu anapotea harudi nyumbani
 
Povuu
Povuuu LA kutosha
 

Hiyo nayo nisababu ila hata miaka ya huko nyuma Mashoga walikuwepo kwenye hizo hizo shule sema kwa siri ilikutokana na utandawazi Ndo sa hivi waeza one imekidhiri....
 
Hiyo nayo nisababu ila hata miaka ya huko nyuma Mashoga walikuwepo kwenye hizo hizo shule sema kwa siri ilikutokana na utandawazi Ndo sa hivi waeza one imekidhiri....

Mambo ya kishoga yalikuwepo nazani tangu tulipoletewa shule na Wazungu enzi za mababu zetu, ila mambo yalikuwa kimya nazani kutokana na jambo lenyewe ilikuwa aibu kujadili. Kinachoniudhi ni sasa tunataka kujadili mambo ya ushoga ili hali kuna mambo mengi ya maendeleo hatuyajadili kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…