kazi kweli kweliWanaume wa mikoani comment zetu zinakaa wapi ili sizi jichanganye nawa dar..[emoji41]
Yaani serious haziwezi kukwepa hizi lawama", Mimi nakwambia hivi nimeshayaona hayo", na pia hizi shule za bweni za boy's only/girl's onlySasa za seminar zimefikaje kwenye ushoga ?
Yaani serious haziwezi kukwepa hizi lawama", Mimi nakwambia hivi nimeshayaona hayo", na pia hizi shule za bweni za boy's only/girl's only
Yaani serious haziwezi kukwepa hizi lawama", Mimi nakwambia hivi nimeshayaona hayo", na pia hizi shule za bweni za boy's only/girl's only
yaani mimi na kutetea wewe na wewe wanishambulia tena !?Mkuu jibu walijua acha jidai hufahamu inahusikaje
Basi kazi ipo Mungu atuponye na kadhia tutasomesha watoto day mpaka wajitambue sanaYaani serious haziwezi kukwepa hizi lawama", Mimi nakwambia hivi nimeshayaona hayo", na pia hizi shule za bweni za boy's only/girl's only
yaani mimi na kutetea wewe na wewe wanishambulia tena !?
hahaa umeona mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Mbwa kang'ata mmiliki
Sio seminary tuu ata School za boy's tupu... Sio hivyo tuu ata mitaani kwetu.. mimi nimesoma na shoga primary na secondary tena government school na ni shule za kutwa...Yaaan hisia hazizuiliki ni kama kuziyaa mafuriko kwa kiganja cha mkono... Hakuna seminary yakosa product ya shoga
Aaghh hatari sana " imagine una mpeleka boarding mtoto aliye balehe tena shule ya jinsia moja " ... na kama ujuavyo umri wa balehe ndio umri wakujaribu kila ujinga " ....Basi kazi ipo Mungu atuponye na kadhia tutasomesha watoto day mpaka wajitambue sana
Shoga ni miongoni mwaa Kiumbe sipatani nacho hasa yule ambae naona anaingilia hadi mazingira yangu. Ila kama ushoga wake anaufanyia huko ambao haungiliani na mazingira yangu siezi kuwa na shida nae.
Najiwazia hivi MTU inakuwaje watuma msg kabisa kwa jina la mwingine kuwa ni shoga? Kwanini isiwe kwa vibaka wanaotusumbua mitaani au hawa wasiojulikana wanaotutesa akili??? Tuangaike na watu ambao ni vikwazo kwa jamii.Sitaki tetea ushoga kwa kupitia dhambi nyingine ila hili Sidhani MTU naakili zako unaeza kutuma msg kuwa flani ni shoga.....
Ila shule za Seminary nyie ni vyanzo vikubwa vya hawa watu(Mashoga)
Yaani you were in my head. Mwambie mangi akupe kinywaji nitalipa.Shoga ni miongoni mwaa Kiumbe sipatani nacho hasa yule ambae naona anaingilia hadi mazingira yangu. Ila kama ushoga wake anaufanyia huko ambao haungiliani na mazingira yangu siezi kuwa na shida nae.
Najiwazia hivi MTU inakuwaje watuma msg kabisa kwa jina la mwingine kuwa ni shoga? Kwanini isiwe kwa vibaka wanaotusumbua mitaani au hawa wasiojulikana wanaotutesa akili??? Tuangaike na watu ambao ni vikwazo kwa jamii.Sitaki tetea ushoga kwa kupitia dhambi nyingine ila hili Sidhani MTU naakili zako unaeza kutuma msg kuwa flani ni shoga.....
Ila shule za Seminary nyie ni vyanzo vikubwa vya hawa watu(Mashoga)
Ukweli usiopingika seminary zinabana watoto sana hupelekea kuanza kutamaniana wenyewe.. mkuu ukimlinda mwanao sana hata hapo nyumbani wanaokuja mbikiri ni ndugu ... Bora shule za boys tupu za serial hawabanwi kama zule za seminarySio seminary tuu ata School za boy's tupu... Sio hivyo tuu ata mitaani kwetu.. mimi nimesoma na shoga primary na secondary tena government school na ni shule za kutwa...
Hivyo ushoga upo kwenye jamii na wengine ni nature tuu kama huyo jamaa since primary ni *****