wana jf msaada kwenu napmba kwa wale wenye kujua naomba mnisaidie ni aplication gani naweza kutumia na nika remove password ambayo nimeisahau wakati ninawasha simu ikishawaka inablock na inataka niweke hizo code number kama kuna mtu anajua naomba anisaidie. hii sio lock ya network ni possword.
View attachment 88899wana jf msaada kwenu napmba kwa wale wenye kujua naomba mnisaidie ni aplication gani naweza kutumia na nika remove password ambayo nimeisahau wakati ninawasha simu ikishawaka inablock na inataka niweke hizo code number kama kuna mtu anajua naomba anisaidie. hii sio lock ya network ni possword.
Ni sawa wadau watakusaidia,ila mimi naona hujatoa maelezo ya kutosha ili kudhibitisha ni kwa jinsi gani password uliyoiset mwenyewe umeisahau kabisa.Sina nia ya kukuvunja moyo,ila ninatambua uwezekano wa simu za watu kuibiwa/kupotea zikiwa locked.