Ulichelewa wapi mzee ukiona unachelewa kununua electrical device nunua ata kalamu au pen tu za xiomi uwe unajifarijiNgoja ijumaa nikadate xiomi yangu kalimoja maana zimenivutia
View attachment 1780199
Chinese Giant Company ya Mobile phones na electronics imekamatwa na twitter police baada ya kupost tweet Ya kuisifia simu yao Mpya Mi 11 kwenye post ambayo ilikuwa inatania kuhusu Kuvunjika kwa ndoa Ya billionaire Billgate, tatizo gumzo limekuja kuwa tweet hiyo imekuwa Posted kwa iPhone kusifia xiaomi(baniani mbaya kiatu chake dawa) , i mean Xiaomi is good... but why..why posting through competitor phone eti
si ndio maana nasema,huyo admin atakuwa kihiyoHahaha ila ujue Ac hiyo iko verified kabisa
Apple mwenyewe aliwah fanya makosa kama haya tim cooks alipost pcha akiwa kwenye kiwanda cha kutengeneza sim za iphone halafu kuna macs zikiwa zina run windows π π πView attachment 1780199
Chinese Giant Company ya Mobile phones na electronics imekamatwa na twitter police baada ya kupost tweet Ya kuisifia simu yao Mpya Mi 11 kwenye post ambayo ilikuwa inatania kuhusu Kuvunjika kwa ndoa Ya billionaire Billgate, tatizo gumzo limekuja kuwa tweet hiyo imekuwa Posted kwa iPhone kusifia xiaomi(baniani mbaya kiatu chake dawa) , i mean Xiaomi is good... but why..why posting through competitor phone eti
Hiyo marketing team yao iko sawa mkuu,,..
Huoni ad humu jf tangazo limefika..
That's means wame hit the target ..
Na hizo ndo tunaita akili kubwa.
Kwahyo unasema aliefanya hivyo ni Creative genius, isiwe sisi ndio tunatafsir beyond dhumuni lake maana baada ya hapo akaifuta hiyo tweet
Mkuu ilivyotakiwa kutafsiriwa ni kwamba tulikosea but ndio teyari Ivo ishaenda viral watu walishascreenshot ,ishakua topic inajadiliwa kila sehem na lengo limefkiwa.Kwahyo unasema aliefanya hivyo ni Creative genius, isiwe sisi ndio tunatafsir beyond dhumuni lake maana baada ya hapo akaifuta hiyo tweet
Mkuu ilivyotakiwa kutafsiriwa ni kwamba tulikosea but ndio teyari Ivo ishaenda viral watu walishascreenshot ,ishakua topic inajadiliwa kila sehem na lengo limefkiwa.
Tutalifanya vipi tangazo la toleo letu jipya lijadiliwe kila kitu kilianzia hapa nafkiri and I think hiki kilikua kikao rasmi kabsana watu walikula posho alaf lijamaa limoja likaja na ilo wazo alaf kila mtu akapiga makofi na kikao kikaishia hapo.