Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,288
Chinese Giant Company ya Mobile phones na electronics imekamatwa na twitter police baada ya kupost tweet Ya kuisifia simu yao Mpya Mi 11 kwenye post ambayo ilikuwa inatania kuhusu Kuvunjika kwa ndoa Ya billionaire Billgate, tatizo gumzo limekuja kuwa tweet hiyo imekuwa Posted kwa iPhone kusifia xiaomi (baniani mbaya kiatu chake dawa) , i mean Xiaomi is good... but why..why posting through competitor phone eti