Xiaomi UK imekamatwa na Twitter Police baada ya kupost tweet via iPhone wakati wanasifia simu yao mpya Mi11 [emoji28]

Super Assassin

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
319
500
IMG_3434.jpg

Chinese Giant Company ya Mobile phones na electronics imekamatwa na twitter police baada ya kupost tweet Ya kuisifia simu yao Mpya Mi 11 kwenye post ambayo ilikuwa inatania kuhusu Kuvunjika kwa ndoa Ya billionaire Billgate, tatizo gumzo limekuja kuwa tweet hiyo imekuwa Posted kwa iPhone kusifia xiaomi (baniani mbaya kiatu chake dawa) , i mean Xiaomi is good... but why..why posting through competitor phone eti
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
5,864
2,000
Ngoja ijumaa nikadate xiomi yangu kalimoja maana zimenivutia
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
22,603
2,000
huu nao ni ufaramanga

ukute mhusika ni mjinga mjinga fulani wa kichina asiyejua hata twitter ina signature ya aina ya simu.
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,923
2,000
View attachment 1780199
Chinese Giant Company ya Mobile phones na electronics imekamatwa na twitter police baada ya kupost tweet Ya kuisifia simu yao Mpya Mi 11 kwenye post ambayo ilikuwa inatania kuhusu Kuvunjika kwa ndoa Ya billionaire Billgate, tatizo gumzo limekuja kuwa tweet hiyo imekuwa Posted kwa iPhone kusifia xiaomi (baniani mbaya kiatu chake dawa) , i mean Xiaomi is good... but why..why posting through competitor phone eti

Hii sentensi ukiisoma kwa makini ni kama Dongo kwa iphone.... Kwa hiyo huyu jamaa hajajisahau ila amefanya kusudi
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
5,864
2,000
View attachment 1780199
Chinese Giant Company ya Mobile phones na electronics imekamatwa na twitter police baada ya kupost tweet Ya kuisifia simu yao Mpya Mi 11 kwenye post ambayo ilikuwa inatania kuhusu Kuvunjika kwa ndoa Ya billionaire Billgate, tatizo gumzo limekuja kuwa tweet hiyo imekuwa Posted kwa iPhone kusifia xiaomi (baniani mbaya kiatu chake dawa) , i mean Xiaomi is good... but why..why posting through competitor phone eti
Apple mwenyewe aliwah fanya makosa kama haya tim cooks alipost pcha akiwa kwenye kiwanda cha kutengeneza sim za iphone halafu kuna macs zikiwa zina run windows 😅😅😅
 
ilala yetu

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
506
1,000
Hiyo marketing team yao iko sawa mkuu,,..
Huoni ad humu jf tangazo limefika..
That's means wame hit the target ..
Na hizo ndo tunaita akili kubwa.
 
Super Assassin

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
319
500
Hiyo marketing team yao iko sawa mkuu,,..
Huoni ad humu jf tangazo limefika..
That's means wame hit the target ..
Na hizo ndo tunaita akili kubwa.

Kwahyo unasema aliefanya hivyo ni Creative genius, isiwe sisi ndio tunatafsir beyond dhumuni lake maana baada ya hapo akaifuta hiyo tweet
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,923
2,000
Kwahyo unasema aliefanya hivyo ni Creative genius, isiwe sisi ndio tunatafsir beyond dhumuni lake maana baada ya hapo akaifuta hiyo tweet

"WHILE BREAKING UP WITH YOUR BILLIONAIRE PARTNER"

who is that partner?

Huyu jamaa amemaanisha kitu, na ana akili sana
 
ilala yetu

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
506
1,000
Kwahyo unasema aliefanya hivyo ni Creative genius, isiwe sisi ndio tunatafsir beyond dhumuni lake maana baada ya hapo akaifuta hiyo tweet
Mkuu ilivyotakiwa kutafsiriwa ni kwamba tulikosea but ndio teyari Ivo ishaenda viral watu walishascreenshot ,ishakua topic inajadiliwa kila sehem na lengo limefkiwa.
Tutalifanya vipi tangazo la toleo letu jipya lijadiliwe kila kitu kilianzia hapa nafkiri and I think hiki kilikua kikao rasmi kabsana watu walikula posho alaf lijamaa limoja likaja na ilo wazo alaf kila mtu akapiga makofi na kikao kikaishia hapo.
 
Super Assassin

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
319
500
Mkuu ilivyotakiwa kutafsiriwa ni kwamba tulikosea but ndio teyari Ivo ishaenda viral watu walishascreenshot ,ishakua topic inajadiliwa kila sehem na lengo limefkiwa.
Tutalifanya vipi tangazo la toleo letu jipya lijadiliwe kila kitu kilianzia hapa nafkiri and I think hiki kilikua kikao rasmi kabsana watu walikula posho alaf lijamaa limoja likaja na ilo wazo alaf kila mtu akapiga makofi na kikao kikaishia hapo.

Interesting , mzee kama ulikuepo kwenye kikao vile
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom