Upendo mkubwa wa watumiaji wa simu za #xiaomi umezidi kuongezeka kila simu, wengi walianza kwa kujaribu kutumia hii simu ya bei ya chini zaidi kuliko zote za #xiaomi inaitwa #redmi9a. Yes wacha week hii tuipe HESHIMA YAKE.
Kama una mtu anataka kuwa na simu ya bei ya kawaida bora zaidi duniani na yenye kudumu miaka Basi epuka lawama kwa kumchagulia #redmi9a.
Simu ya #redmi9a utaipata kwa 240,000 na FREE KAVA AU FREE PROTECTOR unachagua hapo kimoja wapo.
Tuone Sifa zake baadhi
Display - 6.53 HD+ Big screen
CPU - G25 Best speed
13MP Back Camera
5MP Selfi Camera
Storage - 32GB
RAM 2GB
4G internet
Line Mbili
Face unlock
BATTERY 5000mAh
Android Version 10