Mambo vipi wadau, nauza xbox360 , price 250,000 tu
Haya, Miye simo!!mkuu mimi sijakuelewa kinachouzwa ni aina ya simu au computer au ni kifaa gani?
tembea uyaoe.!!!!!!!Haya, Miye simo!!
mkuu mimi sijakuelewa kinachouzwa ni aina ya simu au computer au ni kifaa gani?
mkuu mimi sijakuelewa kinachouzwa ni aina ya simu au computer au ni kifaa gani?
Wakati mwingine na wish, ningejua wauliza maswali wana umri gani, elimu kiasi gani ili nisishangae sana!tembea uyaoe.!!!!!!!
wakati mwingine na wish ningejua wanaoshangaa sana wenzao wanaouliza maswali wana umri gani,elimu kiasi gan ili niwafahamuWakati mwingine na wish, ningejua wauliza maswali wana umri gani, elimu kiasi gani ili nisishangae sana!
Mambo vipi wadau, nauza xbox360 , price 250,000 tu
Nimeuza moja, imebaki moja, Changamkia tenda hiyo kama unavyoona bei yenyewe sawa na bure kabisa. Ukiwa tayari nijulishe