wangewange
Senior Member
- Oct 4, 2013
- 189
- 43
Hard resert ndo inakuaje mkuuIfanyie hard reset, but you will loose some of your data
Kama utakua unamanisha factory resert pia ntashindwa kwa sababu siwezi ingia katka setting cuz simu isha jiblock mkuu au kuna njia nyingine?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Asante sana mkuu ngoja nitry nta kuinformInawezekana kabisa kama utaingia kwa boot model, fanya hivi, zima simu yako kwa kuitoa betri kisha weka, at the same time bonyeza button ya kuwashia na button ya volume down (-v) kwa mda mpaka itakapoingia kwenye boot model kisha chagua factory reset, lakini kumbuka kama simu yako ni tecno usishangae kuletewa menu ya kichina hapo itakuwa imekula kwako
Nlivofanya hivo imenletea optipon ya shut down airplane mode n restArt mkuu haijaja factory resertInawezekana kabisa kama utaingia kwa boot model, fanya hivi, zima simu yako kwa kuitoa betri kisha weka, at the same time bonyeza button ya kuwashia na button ya volume down (-v) kwa mda mpaka itakapoingia kwenye boot model kisha chagua factory reset, lakini kumbuka kama simu yako ni tecno usishangae kuletewa menu ya kichina hapo itakuwa imekula kwako
Asante sana mkuu ngoja nitry nta kuinform
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Nlivofanya hivo imenletea optipon ya shut down airplane mode n restArt mkuu haijaja factory resert
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Ulichokifanya wewe hapo ni soft reset, hakikisha unapoiwasha unaendelea kuhold hizo button bila kuziachia mpaka yenyewe itakapokupa boot model, ukiaachia njiani ndo inakupa soft reset, jaribu tena lete feedback
Asante sana mkuu nmefanikisha mara ya kwanza nilikosea niliwasha kwanza simu alafu ndo nikabinya power button n -v but ulipotuma dc txt nkajarbu kuwasha huku nmebnya vol deductn asante kwanza umeniongezea maujuz kiroho safi ni pm ur # tugawane ata za vocha mkuu iwe namb ya tgo kaka
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Usijali mkuu, sharing is caring