Kama mwanamke, kamshughulikie ujue unatukanwa kihalali.Mbona mwenzio alisingiziwa anatoka na dancer wa Domo, akaacha ndoa akafanya kweli? Cha gamka brother!!!
Hilo jambo halipo ktk kamusi ya mwanamke hata mmoja!!!Muulizw mkeo ufanye nini ili aamini kuwa huhisiki na sakata hilo,muulize kwa upendo na mnyenyekee uokoe ndoa yako. Wenye majibu ya kero hata kuchumbia/kuchumbiwa hawajawahi
Nakupongeza, unastahili tuzo!! maana ni mmoja ktk mamilioni... utakuwa Real Rosebud!!Kwangu lipo baba,na ndio kipaumbele changu
Nakupongeza, unastahili tuzo!! maana ni mmoja ktk mamilioni... utakuwa Real Rosebud!!
Ikishindikana sana tafuta mtu naye ajifanye amekosea kwa mkeo ili ajue kuna kukosea namba
Ikishindikana sana tafuta mtu naye ajifanye amekosea kwa mkeo ili ajue kuna kukosea namba