kama tulivyokubaliana kwenye kikao cha wanaume kilichopita........ndugu wajumbe nakazia tu........
21.usinaswe na uzuri wa mwanamke,wala usimtamani mwanamke kwa mali yake,,,
22.ni ghadhabu aibu na fedheha mume kulishwa na mkewe...
Ungeiweka sura yote tu yaani jana niliipitia imejaa madini tupu.wanawake wajinga na wakorofi wamepigwa mawe ila mwanaume wazembe wazembe wapigwa risasi kabisa hebu cheki mistari ya juu na chini ya huo uloweka red. The best thread of this Sunday.