godoro-la-comfy
Member
- Sep 9, 2013
- 52
- 28
Wadau...ndio nimetoka kwenye written interview ya TRA pale Duce. Aisee ilikua noumer tupu. Majibu kesho jion saa 10. Maswali magumu sana. Kweli kama ni kazi...sasa ivi tutakua tunazipata kwa neema ya Mungu au kwa vimemo tu. Kama hali yenyewe ndio hii.
acha uzushi,ilikuwa maswali 25 rahisi tu kwa dk 100,mshindwe nyie tuWadau...ndio nimetoka kwenye written interview ya TRA pale Duce. Aisee ilikua noumer tupu. Majibu kesho jion saa 10. Maswali magumu sana. Kweli kama ni kazi...sasa ivi tutakua tunazipata kwa neema ya Mungu au kwa vimemo tu. Kama hali yenyewe ndio hii.
acha uzushi,ilikuwa maswali 25 rahisi tu kwa dk 100,mshindwe nyie tu
are you great sinker?mbona unaongea vitu visivyoeleweka mkuu:focus:kalewa mashuzi ya mke wake huyo
lazima uone nyotanyota yale mijambo ya mke wako natumai ulifika pale na hangover ya mashuzi
Huna nidhamu na hujiheshimu hata wewe mwenyewe. Matusi unayotoa yanaanzishwa nini? Unakula NDUMU au UNABWIA? Wavuta bangi na wabwia unga ndio huamua kutukana hata kama hakuna sababu ya kutukana. Wao matusi ni mkate wao wa kila siku. Jirekebishe maana unamlaani aliyekufundisha kuandika